Advertisement

Mr Beneficial: Mimi sio kiraka wa Ebitoke.

Mr Beneficial: Mimi sio kiraka wa Ebitoke.

Akiongea kuhusu sehemu yake Timamu Tv Mr Beneficial anadai yeye sio kiraka wa Ebitoke, hakupata nafasi sababu yake staa huyo wa kike kutoka.

Pia Mr Beneficial anasema kwenye comedi zao hajambeba mjeshi ila yeye ndio anabebwa zaidi na Mjeshi.

Ebitoke.

Post a Comment

0 Comments